kevin nick
New Member
- Sep 13, 2016
- 2
- 0
je ipo marketable?
Kwa mawazo yangu mimi nimewaza ungeuliza kabla hujafanya application lakini umetoa baada ya kuchaguliwa. Kuna watu watakuja humu kukuvunja moyo na ukapoteza tumaini kabisa. kama ulichagua kwa kujiamini naomba uendelee kujiamini.kwa ngazi ya degree.. mi nmechaguliwa kusoma hio IFM..
Fact,,,Mimi pia nlisoma ifm lakn tuache utani bora banking n finance au account ipo marketable sana lakn course nyngne but asome tu au akiweza kubadl achukue bnkng au accountmm ni muhitimu wa ifm kama uko ulisoma masomo ya sayansi a'level otherwize biashara au uchumi (egm au hge) soma account but kama ulisoma art ww soma hiyo hiyo though soko lake ni tight more than 70% linategemea ajira bunafsi(makampuni)