Habari ndugu zangu. Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24. Nasoma sheria katika moja ya vyuo vilivyopo mkoani morogoro ngazi ya cheti. Dhumuni ya kuleta ishu yangu humu ni kuomba msaada wa mtu yeyote atakae guswa ķunisaidia kunifadhili kwa kipindi hiki cha mwaka mmoja.. naomba kwa yoyote atakayeguswa kunisaidia. Nitamshukuru sana. Thanx in advance.