Hellow wana JF!
Naomba ufafanuzi na uelewa juu ya hili: Je ukiweka flash disc yenye virus kwenye radio au tv ili kusikiliza music au kuangalia video, wale virus wanaweza kuathiri system ya tv au radio?
Nawasilisha
Kwa uelewa wangu finyu wa hizi mambo ni kuwa radio/DVD player zenyewe huwa zinafanya kusoma tu ile device bila transfer/storage/installation ya aina yeyoye ya data tofauti na computer ambayo hufanya analysis ambapo ndipo virus wanapohama.
Am standing to be corrected though.