Naomba tujifunze hapa

Sifa ya kwanza ya mwanaume ni kukataa slope
Sifa ya Pili ni consistency kukua yaani kutokea chini kidogokidogo kwa kila kitu uchumi,elimu,mahusiano


Shortcut ni njia za wavulana
 
Kila baada ya sekunde moja nukta, ndugu mwandishi unaupiga mwingi [emoji16]
 
Kabisa, haraka haraka huwa haina baraka.
Shida fikra za wanaume za Kimungu. Tunafikiria mara mbili mbili. Ndo maana Kila siku tunareta thread za kuumizwa. Hila ukweli tukiamua kuweka pembeni akili zetu tukatumia zao. Kamwe hatuwezi kuja kulia lia humu.
 
Sifa ya kwanza ya mwanaume ni kukataa slope
Sifa ya Pili ni consistency kukua yaani kutokea chini kidogokidogo kwa kila kitu uchumi,elimu,mahusiano


Shortcut ni njia za wavulana
Mungu alituumba Kwa mfano wake. Wanaume ni mfano wa Mungu. Hata Shetani anatuogopa kutujaribu. Nataka kujua je tupo tayari kutumia akili kama wanawake? Maana nyuzi nyingi wanaume wanalalamika. Shida tunatumia akili za kiume kudeal nao. No heri tutumie zao Ili tuone nani atalalamika
 
Huu uzi umekaa kinjama njama tu. Kama vile unataka tuache kufikiri, tuanze kukurupuka kama hao uliowaita wanawake
 
Sifa ya kwanza ya mwanaume ni kukataa slope
Sifa ya Pili ni consistency kukua yaani kutokea chini kidogokidogo kwa kila kitu uchumi,elimu,mahusiano


Shortcut ni njia za wavulana
Nunua v8 hapo car dealers siji kulipa πŸ˜πŸš—πŸš—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…