NAOMBA TUFUMBE MACHO TUOMBE ,,,,

jisome

Senior Member
Joined
Sep 29, 2017
Posts
108
Reaction score
94
. MTAKATIFU MUNGU MWENYE ENZI ASANTE KWA AJILI YA SIKU HII YA LEO NINAOMBA KILA MMOJA ANAPOKUFANYIA IBADA AKUTANE NA BARAKA ZAKO ZITOKAZO MBINGUNI TUNAOMBA MUNGU MBARIKI KILA MMOJA WETU ,BARIKI TAIFA LETU NA KUTANA NA HITAJI LA KILA MMOJA TUJALIE AFYA NJEMA NA UPENDO ninaomba katika jina La yesu nikiamini na kushukuru ameeen
 
Amen
japo wazee wetu wa imani wasingeweza kuvaa kofia namna hiyo na kuomba
 
Picha iliyokwenye shati lako hilo kinachoonekana hicho ni kidaka tonge au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…