CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,388
- 6,482
written law ina prevail kk, na Indian law it can b used as parematilia in tz if our lspecify....wengine toeni views.
Where there is a conflict between customary law and statutory law, statutory law shall prevail. S.9 ya jala. In the probate act, i dont remember ni section ipi, it states something like where religious law is unfair or discriminative then it will be overrule. Go through the probate act.
Mkuu sana CHUAKACHARA,katika taratibu za kisheria za nchini mwetu Sheria yoyote ya nje hutumika pale tu ambapo kuna kutojitosheleza kwa Sheria yetu/zetu juu ya suala fulani. Katika minajiri hiyo, Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009 ndiyo hasa inayotumika kuhusu suala uliloliainisha.
Kulingana na kifungu ulichokidondoa, hakuna utata au kupingana kokote na Sheria yoyote ya Tanzania. Mkuu CHUAKACHARA, jambo hili lakufanya baba mzazi atajwe na Mahakama na papo hapo mtoto aanze kufaidi faida zakuwa na baba mzazi ni katika juhudi za jamii kuondoa mahangaiko kwa watoto wanaozaliwa nje ya ndoa.
Kimsingi, Sheria ya Mtoto niliyoitaja hapo juu imeleta mabadiliko makubwa katika masuala yamhusuyo mtoto. Ni Sheria ya kupigiwa mfano pamoja na kuwa na hitilafu za hapa na pale.
Hivyobasi, Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009 ya Tanzania haipingani kwa namna yoyote na Sheria hiyo uliyoitaja ya India kwakuwa Sheria hizo mbili hazitumiki pamoja na kwa uzito sawa hapa Tanzania. Sheria zetu zaTANZANIA huanza kutumika kabla ya zote za nje.Asante Mkuu
Wakili Msomi Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Mkuu CHUAKACHARA, si vyema kusema kuwa Sheria ya Mtoto inaruhusu uzinzi.Uzinzi huruhusiwa na dhamira ya mtu binafsi. Kilichofanywa na Sheria ni kumlinda mtoto ambaye hana hatia yoyote juu ya kile kilichotokea ima kiwe cha kizinzi au la. Hakuna dini hata moja iruhusuyo uzinzi. Hakuna pia dini ya kikristo inayoruhusu ndoa ya wake wengi.Ni dhamira mbovu tu za watu. Si Sheria iruhusuvyo.Nashukuru sana Mkuu. Ufafanuzi murua. Naomba niulize zaidi kidogo kama sitaku-bore! Ina maana sheria imeruhusu uzinzi. Unaweza zaa nje bila woga. Kama sheria inamtambua mtoto, basi inaruhusu hata wakristo kuoa zaidi ya mke mmoja. One can argue that way! Huwezi kuwa na halali kutokana na haramu!- Usiku unafuatwa na mchana! Hata common sense inatuongoza hivyo!
Lakini wemeweka angalizo kuwa kama dini ya mhusika inakubaliana na hili-(katika kifungu nilichokinukuu. Naomba ufafanuzi wako!
Ndio na mi nashangaa...! Unawezaje kusema Indian Succession Act of 1865 ni foreign law kwa Tanzania?Wadau naona kuna haja ya kuput records clear hapa India Succession Act ya mwaka 1865 sio foreign /international law ka wadau wengine wanvyoifikiria hii sheria inanFTguvu sawa sawa na sheria zingine zilizotungiwa Tanzania ....
Duuh! Section 9 ya J.A.L.A inasemaje? Kuna kamba humu ndani sijapata kuona...Where there is a conflict between customary law and statutory law, statutory law shall prevail. S.9 ya jala.
Naona mkuu kwa chini umejipiga promo wakiki msomi wakati advocates act inakataza mkuu..touting hiyo mkuu sijui nimepatia mana nilisomaga long time kinomaMkuu sana CHUAKACHARA,katika taratibu za kisheria za nchini mwetu Sheria yoyote ya nje hutumika pale tu ambapo kuna kutojitosheleza kwa Sheria yetu/zetu juu ya suala fulani. Katika minajiri hiyo, Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009 ndiyo hasa inayotumika kuhusu suala uliloliainisha.
Kulingana na kifungu ulichokidondoa, hakuna utata au kupingana kokote na Sheria yoyote ya Tanzania. Mkuu CHUAKACHARA, jambo hili lakufanya baba mzazi atajwe na Mahakama na papo hapo mtoto aanze kufaidi faida zakuwa na baba mzazi ni katika juhudi za jamii kuondoa mahangaiko kwa watoto wanaozaliwa nje ya ndoa.
Kimsingi, Sheria ya Mtoto niliyoitaja hapo juu imeleta mabadiliko makubwa katika masuala yamhusuyo mtoto. Ni Sheria ya kupigiwa mfano pamoja na kuwa na hitilafu za hapa na pale.
Hivyobasi, Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009 ya Tanzania haipingani kwa namna yoyote na Sheria hiyo uliyoitaja ya India kwakuwa Sheria hizo mbili hazitumiki pamoja na kwa uzito sawa hapa Tanzania. Sheria zetu zaTANZANIA huanza kutumika kabla ya zote za nje.Asante Mkuu
Wakili Msomi Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Nashukuru sana Mkuu. Ufafanuzi murua. Naomba niulize zaidi kidogo kama sitaku-bore! Ina maana sheria imeruhusu uzinzi. Unaweza zaa nje bila woga. Kama sheria inamtambua mtoto, basi inaruhusu hata wakristo kuoa zaidi ya mke mmoja. One can argue that way! Huwezi kuwa na halali kutokana na haramu!- Usiku unafuatwa na mchana! Hata common sense inatuongoza hivyo!
Lakini wemeweka angalizo kuwa kama dini ya mhusika inakubaliana na hili-(katika kifungu nilichokinukuu. Naomba ufafanuzi wako!
sio "there is a chance nimekosea," umekosea, period! Hicho kipengele hakipo!There is a chance nimekosea
Huwezi kunambia mimi ni "go through JALA" wakati wewe ndio umetoa kipengele potofu na umekiri hivyo. Wewe ndio uende ku "go through JALA..." ukaji enlight with the facts... Unatunga vipengele halafu unanambia mimi go through JALA, we vipi?Just go through hiyo jala
Naona mkuu kwa chini umejipiga promo wakiki msomi wakati advocates act inakataza mkuu..touting hiyo mkuu sijui nimepatia mana nilisomaga long time kinoma
written law ina prevail kk, na Indian law it can b used as parematilia in tz if our law dd not specify....wengine toeni views.
Ndio na mi nashangaa...! Unawezaje kusema Indian Succession Act of 1865 ni foreign law kwa Tanzania?
Section 14, J.A.L.A The Acts of the Governor-General of India in Council set out in the third column of the Second Schedule hereto (and hereinafter referred to as "the Indian Acts") and such amendment of or substitution for the same as was in force on 1st December, 1920 are, subject to the exceptions described in the fourth column of the said Schedule, hereby applied to Tanzania.
Duuh! Section 9 ya J.A.L.A inasemaje? Kuna kamba humu ndani sijapata kuona...
Section 9, J.A.L.A: "The provisions of the Acts of the Parliament of the United Kingdom described in the First Schedule hereto, as amended prior to the twenty-second day of July, 1920, shall apply to and have effect within Tanzania subject to the exceptions, adaptations and modifications set out therein."
Sasa we dada, hebu nionyeshe umepata wapi hicho kipengele cha "Where there is a conflict between customary law and statutory law, statutory law shall prevail"?????
Basically the British and Indian laws which are enumerated in J.A.L.A sio sheria ya kigeni, zimesimikwa kuwa ni sheria za kibongo kama sheria zingine tulizojitungia wenyewe. Tukubaliane hilo above all. Kwanza sisi hatuna sheria yetu tuliyojitungia ya urithi, kwa mfano, sasa utasemaje sheria ya India haina nguvu kama sheria yetu? Yetu ipi?