Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,096
heshima kaka usikataeWewe mtoto shikamo hii vipi?
heshima kaka usikataeWewe mtoto shikamo hii vipi?
kumbe?Hatapewa passport mpya kama hana kitambulisho cha uraia.
uko vizuri...nifanyie mchakato wa kitambulisho kipya basi cha zamani kimepotea, gharama ya ku renew ni sh ngapi? au ni burendio
Ndiyo mkuukumbe?
Ndiyo hivyo mkuu, hayo ni maagizo mapyakumbe?
Ukitaka kusafiri nje ya nchi kwasasa ni lazma uwe na kitambulisho cha Taifa.Sasa mkuu kwani ukitaka kusafiri nje ya nchi lazima uwe na kitambulisho cha taifa? Kakate hati za kusafiria kwanza ofisi za uhamiaji