GTA kwenye android au...Habari za muda huu wakuu...
Mimi ni Mdau wa jukwaa hili la technology nimefungua channel Kule youtube inayohusu ma.Game na teknolojia kwa ujumla ninaomba support yenu kwa kusubscribe channel yangu ya youtube inaitwa SWAHILI ZONE na kushare video zangu huwa naweka maelekezo jinsi ya kudownload MAGEMU kwa mfano *jinsi ya kudownload dream league 2021
*Jinsi ya kudownload GTA San Andreas iii
Gb ngapi??Ndio mkuu
ni compressed au??Mb 200 tu
GTA link uliyonipa nimedownload hola hizo mbs bora ningecheki porn
Tafadhari naomba uangalie video mpk mwisho kuna mafile kama matatu unatakiwa kuwanayo kwanza uwe na application ya ZARCHIVER alafu download Gta APK mb 16 link nimekuwekea kwenye discripshion alafu uta download data mb 200 kisha fuata maelekezo yote hapo kwenye videoGTA link uliyonipa nimedownload hola hizo mbs bora ningecheki porn tu
Mkuu magemu yangu no moded nishindwe kuinstall kwelTafadhari naomba uangalie video mpk mwisho kuna mafile kama matatu unatakiwa kuwanayo kwanza uwe na application ya ZARCHIVER alafu download Gta APK mb 16 link nimekuwekea kwenye discripshion alafu uta download data mb 200 kisha fuata maelekezo yote hapo kwenye video