Naomba Support ya Biashara Ndogo

Fallyjan

Member
Apr 5, 2019
23
8
Fallyjan22


1.Sandals za Kike kwa kiume zipoo

2.Simple za kike zinapatikana

3. Mafuta ya Nywele yapoo piaa...:Mzuri sanaa yani. Nywele zinajaa na kuwa nyeusi fresh yani.

4.Kwa Wale Mnaohitaji Vitenge, kama zawadi kwa Mama, Dada,Mke, Mchumba. N.K Vipooo Ndungu zangu... Nawakaribisha Sana, Naomba Support yenu.

Msimu wa umekaribia , Muone Baby wako na zawadi Kemukemu #Mabibi na Mabwana naombeni Support yenu kupromote.

Namba 0746500650
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom