Mahunguchila
Member
- Jun 11, 2012
- 74
- 34
Nipo katika mgogoro mkubwa katika mahusiano yangu na NINAOMBA wana MMU mnisaidie. Nisingependa kuueleza hapa kwa sababu mhusika pia ni member humu. Tafadhali mnisaidie nim PM nani na nani ambao wanaweza kunisaidia katika shida yangu hii! Sio active member sana humu ila ninaamini wapo watu wazima wenye busara wanaweza kunisaidia kutatua tatizo langu. Ninao ndugu jamaa na marafiki lakini nisingependa kuwashirikisha wao.
Nawasilisha.
AsanteThe boss,watu8,,heaven on earth,,,,i thnk so
pole sana, wasilisha tutakusaidia sijui she/he
Thubutuuuu na hayo matusi yako utamshauri nani wewe...Albosignathus nae umemsahau.
Ha ha ha mi chenga tu....
Kwani wewe huna busara?
miss neddy unge m pm afu afanye hivyo kama muhusika anasoma sasa si atajuaaaa huu mchezo!mpe mtu mkasa wako huko pm aaanzishe uzi kwa niaba yako upate mawazo ya wengi
maana penye wengi hapaharibiki neno
Thubutuuuu na hayo matusi yako utamshauri nani wewe...
Thubutuuuu na hayo matusi yako utamshauri nani wewe...