Naomba Rais Magufuli akemee utekaji na mauaji yanayoendelea nchini

Ajikemee mwenyewe au unamaanisha nini? Nauliza tu
Ukiona kimyaaaaa utakuwa umepata jibu
Kujaribu si kushindwa tusubiri majibu labda kesho kutakuwa na Waandishi wa Habari sehemu fulanifulani
Kwani anatizama huu mtandao
 
ATEKE MWENYEWE HALAFU AKEMEE......ATAKUWA ANAKIUKA MASHARTI YA MGANGA WAKE.....HUYU NI SAWA NA FARAO NA KWASASA TUNAHITAJI KUMPATA MUSA, ILI TUANZE SAFARI YA KANANI...
Nchi imechafuka na inanuka damu tena kuendelea kukaa kimya ni hatari zaidi kuliko kunyamaza.....cha ajabu yapo MAZUZU yanashangilia uovu wa "bwana yule"
 
Yaani najikuta tu siku hizi namkumbuka Mwalimu; ujinga kama huu wasingethubutu kuufanya mbele yake. Mwalimu huko uliko Tanzania uliyotuachia sasa hivi imefikia hatua tunawindana kwa mafobore ka wanyama mwitu. (RIP).
 
sio kw

What it hauko free to that extent
kwahiyo utanifanyaje .we kenge mavi ya kuku kabisa laiti ungejua nina uwezo wa kukufuata hapo ulipo ndani ya masaa 12 na nikakufanya hamna usingeongea huu upuuzi wako hapa. lofa wewe angalia sio kila mtu anatishiwa huku kwenye mitandao fala wewe.
 
Mtukufu Rais napenda kuleta kwako Ombi maalum baada ya kuona mwendelezo wa utekwaji na mauaji ya watu yanayoendelea kwenye chaguzi zilizopita kwenye zile kata 43 na Jana tena tumesikia kwenye vyombo vya habari mauaji tena yanaendelea huko Kinondoni.

Mauaji kama haya na mengine yanaacha familia nyingi kwenye hali mbaya na huzuni nyingi simply tu sababu huyu yuko chama fulani.

Mtukufu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakuomba sana sana Sena NENO moja tu ili mauaji ya jinsi hii yakomeshwe,Tutaokota miili ya watu toka kwenye fukwe zetu mpaka lini???

Naamini ukikemea jambo hili hadharani utakuwa umesaidia watanzania wengi sana.

Najua ulisaidia sana hata kwenye chaguzi za Umeya zilizokuwa zinafanyiwa mizengwe lakini uliposema NENO moja tu uchaguzi ulifanyika na mshindi alipatikana bila taabu.

Na kwa hili ambalo linahusu maisha ya watu kupotea nakusihi sana sema NENO moja tu na maisha ya watu wako yatasalimika.
Atakamea kitu gani wakati yanayofanyika yana baraka zake?
 
Mwacheni tu, amejigeuza Mungu mtu. Lakini mimi ninalia na NEC tu.
 
Pesa mwanaharamu mkuu awa watu walianza wakiipenda haki sana ila leo washalewa madaraka ukijichanganya wanakumaliza tu mkuu kikubwa ni bora tu ufanye yako.
 
Mtukufu Rais napenda kuleta kwako Ombi maalum baada ya kuona mwendelezo wa utekwaji na mauaji ya watu yanayoendelea kwenye chaguzi zilizopita kwenye zile kata 43 na Jana tena tumesikia kwenye vyombo vya habari mauaji tena yanaendelea huko Kinondoni.

Mauaji kama haya na mengine yanaacha familia nyingi kwenye hali mbaya na huzuni nyingi simply tu sababu huyu yuko chama fulani.

Mtukufu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakuomba sana sana Sena NENO moja tu ili mauaji ya jinsi hii yakomeshwe,Tutaokota miili ya watu toka kwenye fukwe zetu mpaka lini???

Naamini ukikemea jambo hili hadharani utakuwa umesaidia watanzania wengi sana.

Najua ulisaidia sana hata kwenye chaguzi za Umeya zilizokuwa zinafanyiwa mizengwe lakini uliposema NENO moja tu uchaguzi ulifanyika na mshindi alipatikana bila taabu.

Na kwa hili ambalo linahusu maisha ya watu kupotea nakusihi sana sema NENO moja tu na maisha ya watu wako yatasalimika.

AAMIN
 
Kwa hali inavyoendelea umwagaji wa damu hauepukiki na matendo hayo yataendelea . Ina maana kuwa matendo ya utekaji, kuuwawa wananchi wasio na hatia na utesaji yamepewa baraka za kitaasisi ( institutionalized ) kwa sababu yanafanyika chini ya baraka na approval ya vyombo husika. Haiwezekani wanaotekeleza uovu huo wafanye out of vacumm / in their own will bali yanafanyika baada ya kuratibiwa vizri na permit kutolewa. Sasa , dunia ni mduara. anayeratibu, anayepanga na anayetoa 'go ahead' wote wakumbuke kuwa hawatokuwa ktk nafasi hiyo milele. watarudi dhalili kabisa na wanajulikana na ni sehemu ya jamii. Ikiwa matendo kama haya yanatokea tz basi ni wazi kuwa kuna vyombo vya ulinzi na usalama havifanyi kazi zao inavyopaswa, kazi ya kuwalinda raia na mali zao. Ikumbukwe kwamba kote duniani, wanaopanga na kutekeleza utekaji, maujai , watu kupotea, na kuuwawa wanaishia katika mahakama za kimataifa. Mifano iko mingi. wasifikiri kuwa CCM itatawala maisha tz, dunia sio jiwe linalolishindikana kugeuzwa.

Idadi ya waliodhulumiwa inaendelea kuongezeka na inaonesha kuwa ni mradi wa kisiasa ambao return for investment ( IRR, NPV CBR nk ) inaonesha ni positive ktk moyo wa wanaotekeleza uovu huu. Naililia tz yangu. machozi yangu ya maji yamegeuka kuwa ya damu ninaposoma taarifa za kupotea kwa watanzania. Institutionalization of torture, assassination, abduction and killing ni advanced stage ya utawala wa udictator mambo leo. Ni machungu kumeza lakni ni ujumbe wa busara kwa wanaofanya matendo haya kuyaacha kwa sababu hayana added value katika uendeshaji wa nchi, after all sote ni wa tanzzania .
 
Kavuruga yeye amani yetu vyama vingi havijaanza wakati wake vilikuwepo na mauaji hayakuwepo yeye ndiye kiini cha mauaji haya kwa tamaa tu ya kuuhada umma kuwa ccm inakubalika kumbe sivyo hawezi kujihukumu mwenyewe wala kukemea hayo mauaji kamwe
 
Back
Top Bottom