Naomba radhi wanaJamii Forums wa iq kubwa oktoba nitatiki

Alex khalifa

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2025
Posts
282
Reaction score
512
Nimekaa nikawasikiliza wapinzani nikagundua jambo niwachonganishi na wana roho mbaya mfano ACT Wazalendo nimekaa pale Zanzibar miaka hiyo hao jamaa wanaroho mbaya yani wao mbara wanamuona kama adui ilihali watoto wao wanasoma bara puuzi kabisa hua namshangaa mbara ane washabikia hao mafedhuri wenye roho za kutu mbaya kama nini, oktoba nitatiki
 
Sisi makamisaa inaonyesha unatiki kwa hasira
mkuu hao mafedhuri nawachukia basi tu si tumeshaa zaa na wazenji tumechanganya damu wanataka kututenganisha sikubali, ole ole olewako mniguse eti kwanini naenda kupiga kura nisiseme sana msije kuogopa nataka wa kumtoa mfano, oktoba,,,,,,,,,,.yebhaaaaa√√√√√√√
 
Shida ni kuwa hata ukienda kupiga kur hao polisi huenda wakaludhuru maana hawajui/tambua
Kingine polisi vatakavyojikamafleji wanachi wataingiwa hofu hata yuke mwenye nia ya kwenda kupiga kura akiona hivyo haendi tena
 
zitahesabiwa ata hizo chache mkuu kwani miaka yote mnapigaga kura nyote si huwa nisiwachache tu, onyo oktoba natiki nisiguswe, hii kichwa ni wrong number jichanganyeni sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom