Naomba radhi kwa Rais Magufuli

Naomba radhi kwa Rais Magufuli

AIR MSAE

Member
Joined
Aug 23, 2016
Posts
22
Reaction score
17
Kama juu panavyojieleza

Nasikitika sana kwa kuwa mpinzani wako bila sababu ya msingi katika yote uyafanyayo

Leo nakuja mbele ya umma huu wa wanaJF na watanzania wote nikikuangukia miguuni mwako nikiomba unisamehee mheshimiwa

Nimeamua kufanya hivi maana nimesoma maandiko ya kitabu ninachokiamini Rum 13:1+ na kuona nakupinga bila sababu ya msingi

Pamoja na hayo yote naomba umma ufahamu kuwa,

A)Mimi bado nitaendelea kuwa CDM hadi kufa kwangu

B)Nitaendelea kuwa na misimamo tofauti na chama chako cha kijani

C)Nitakupuuza pale unapowapuuza wapinzani

D)Sitakubali kuitwa mchochezi pale nitakapoona nasimamia ukweli na haki

Muheshimiwa mtukufu rais,haya yote yanatokana na,

A)Serikali yako imekataa kuajiri watumishi wapya sasa hapa inaonyesha unatukomoa sisi tuliopo mikoani kwa kuwa na uhaba wa watumishi hasa sekta hii ya afya vijijini tunafanya kazi kituoni mtumishi 1 au 2,kwa hili umetukomoa sana

B)Kukataa eti wenye diploma kama GPA ni chini ya 3.5 haturuhusiwi kuendelea,sasa mheshimiwa mtukufu unataka twende wapi,kwa kweli umetuweza na kutukomoa

C)Kuona sisi watumishi ndio tumekula nchi na kuiacha mifupa hapa mheshimiwa hebu katika hotuba zako ujaribu kuukwepa msemo unaofanana na huo maana unatuvunja moyo wa kulitumikia taifa na unatufanya katika jamii tunaonekana vyoo

Kwa yote haya muheshimiwa mtukufu rais naomba nikuombe tena radhi na nikupe moyo wa kuendelea kututumikia nami nitakua nawe bega kwa bega katika yenye haki na usawa ila ya ukandamizi nitakupinga bado

Naomba kukuwakilishia waraka huu popote ulipo Ikulu na Mungu anisaidie
 
Nchi za kiafrica zote zipo kweny Fungate la uhuru.
Sitashangaa kuona watu hawatoajiriwa mwaka huu, na mengine km hayo.
Bado tunasafari ndefu sana kufika ktk uchumi wa kati
 
Muheshimiwa Mtukufu maana yake nini?

Mtu hajielewi hata salutations tu hajui, nitegemee vipi aelewe zaidi?
 
Kama juu panavyojieleza

Nasikitika sana kwa kuwa mpinzani wako bila sababu ya msingi katika yote uyafanyayo

Leo nakuja mbele ya umma huu
wa wanaJF na watanzania wote nikikuangukia miguuni mwako nikiomba unisamehee mheshimiwa
Nimeamua kufanya hivi maana
nimesoma maandiko ya kitabu
ninachokiamini Rum 13:1+ na kuona nakupinga bila sababu ya msingi
Pamoja na hayo yote naomba umma ufahamu kuwa,
A)Mimi bado nitaendelea kuwa
CDM hadi kufa kwangu
B)Nitaendelea kuwa na misimamo tofauti na chama chako cha kijani
C)Nitakupuuza pale unapowapuuza wapinzani

D)Sitakubali kuitwa mchochezi pale nitakapoona nasimamia ukweli na haki
Muheshimiwa mtukufu rais,haya yote yanatokana na,

A)Serikali yako imekataa kuajiri watumishi wapya sasa hapa inaonyesha unatukomoa sisi tuliopo mikoani kwa kuwa na uhaba wa watumishi hasa sekta
hii ya afya vijijini tunafanya kazi kituoni mtumishi 1 au 2,kwa hili umetukomoa sana
B)Kukataa eti wenye diploma kama GPA ni chini ya 3.5 haturuhusiwi kuendelea,sasa
mheshimiwa mtukufu unataka twende wapi,kwa kweli umetuweza na kutukomoa
C)Kuona sisi watumishi ndio tumekula nchi na kuiacha mifupa hapa mheshimiwa hebu
katika hotuba zako ujaribu kuukwepa msemo unaofanana na huo maana unatuvunja moyo wa kulitumikia taifa na unatufanya katika jamii tunaonekana vyoo

Kwa yote haya muheshimiwa mtukufu rais naomba nikuombe tena radhi na nikupe moyo wa kuendelea kututumikia nami nitakua nawe bega kwa bega
katika yenye haki na usawa ila ya ukandamizi nitakupinga bado

Naomba kukuwakilishia waraka huu popote ulipo Ikulu na Mungu anisaidie

Umekosa nn mbona kama haitoki moyoni kwako? Na kama vile unatoa misimamo yako mbelw ya Mh Rais, acha uchokozi kabisa mkuu
 
Piga kazi ya Serikali acha kulialia, mshahara si unalipwa?
 
uta mpuuza kwa kuwapuza wapinzani

hutakubali kuitwa mchochezi pale utakapo simamia haki

alafu bado wasema kua wewe ni cdm mpka kufa kwako wewe ni mnafki

wafuate fisiem wenzio
 
Kama juu panavyojieleza

Nasikitika sana kwa kuwa mpinzani wako bila sababu ya msingi katika yote uyafanyayo

Leo nakuja mbele ya umma huu wa wanaJF na watanzania wote nikikuangukia miguuni mwako nikiomba unisamehee mheshimiwa

Nimeamua kufanya hivi maana nimesoma maandiko ya kitabu ninachokiamini Rum 13:1+ na kuona nakupinga bila sababu ya msingi

Pamoja na hayo yote naomba umma ufahamu kuwa,
A)Mimi bado nitaendelea kuwa CDM hadi kufa kwangu
B)Nitaendelea kuwa na misimamo tofauti na chama chako cha kijani
C)Nitakupuuza pale unapowapuuza wapinzani
D)Sitakubali kuitwa mchochezi pale nitakapoona nasimamia ukweli na haki

Muheshimiwa mtukufu rais,haya yote yanatokana na,
A)Serikali yako imekataa kuajiri watumishi wapya sasa hapa inaonyesha unatukomoa sisi tuliopo mikoani kwa kuwa na uhaba wa watumishi hasa sekta hii ya afya vijijini tunafanya kazi kituoni mtumishi 1 au 2,kwa hili umetukomoa sana
B)Kukataa eti wenye diploma kama GPA ni chini ya 3.5 haturuhusiwi kuendelea,sasa mheshimiwa mtukufu unataka twende wapi,kwa kweli umetuweza na kutukomoa
C)Kuona sisi watumishi ndio tumekula nchi na kuiacha mifupa hapa mheshimiwa hebu katika hotuba zako ujaribu kuukwepa msemo unaofanana na huo maana unatuvunja moyo wa kulitumikia taifa na unatufanya katika jamii tunaonekana vyoo

Kwa yote haya muheshimiwa mtukufu rais naomba nikuombe tena radhi na nikupe moyo wa kuendelea kututumikia nami nitakua nawe bega kwa bega katika yenye haki na usawa ila ya ukandamizi nitakupinga bado

Naomba kukuwakilishia waraka huu popote ulipo Ikulu na Mungu anisaidie
Naweza kusema ww ni mnafiki bila kumumunya maneno,nitaeleza:
Hauwezi kuomba msamaha wakati unaendelea na "dhambi" ileile! Hauwezi kutoa sifa ya wema kwa mbaya wako. Hauwezi kumkweza adui yako kwa mapambio wakati alishakutenda.
Kwenye msiba wa mbaya wako unalia hadi unagaragara,kumbe furaha tele moyoni mwako!
Mtu kama wewe katika maisha yako hauwezi kusimama kama wewe ukaelezea"facts" zako hadharani watu wakakuelewa mpaka upate msaada wa mtu mwingine, tena awe msanii mzuri!
Atakayeweza kuelezea akafahamika katika hadhira kuwa mchana maana yake ni usiku,jambo baya kulielezea kama jambo jema,nk nk.
"Kusyenteka" ni unafiki na ni utoto.
Simamia dhamira yako na watu watakuelewa.
 
Mbowe amefukuzwa Bilicanas kwa madeni . je makamanda mtamchangia??
 
Kama juu panavyojieleza

Nasikitika sana kwa kuwa mpinzani wako bila sababu ya msingi katika yote uyafanyayo

Leo nakuja mbele ya umma huu wa wanaJF na watanzania wote nikikuangukia miguuni mwako nikiomba unisamehee mheshimiwa

Nimeamua kufanya hivi maana nimesoma maandiko ya kitabu ninachokiamini Rum 13:1+ na kuona nakupinga bila sababu ya msingi

Pamoja na hayo yote naomba umma ufahamu kuwa,
A)Mimi bado nitaendelea kuwa CDM hadi kufa kwangu
B)Nitaendelea kuwa na misimamo tofauti na chama chako cha kijani
C)Nitakupuuza pale unapowapuuza wapinzani
D)Sitakubali kuitwa mchochezi pale nitakapoona nasimamia ukweli na haki

Muheshimiwa mtukufu rais,haya yote yanatokana na,
A)Serikali yako imekataa kuajiri watumishi wapya sasa hapa inaonyesha unatukomoa sisi tuliopo mikoani kwa kuwa na uhaba wa watumishi hasa sekta hii ya afya vijijini tunafanya kazi kituoni mtumishi 1 au 2,kwa hili umetukomoa sana
B)Kukataa eti wenye diploma kama GPA ni chini ya 3.5 haturuhusiwi kuendelea,sasa mheshimiwa mtukufu unataka twende wapi,kwa kweli umetuweza na kutukomoa
C)Kuona sisi watumishi ndio tumekula nchi na kuiacha mifupa hapa mheshimiwa hebu katika hotuba zako ujaribu kuukwepa msemo unaofanana na huo maana unatuvunja moyo wa kulitumikia taifa na unatufanya katika jamii tunaonekana vyoo

Kwa yote haya muheshimiwa mtukufu rais naomba nikuombe tena radhi na nikupe moyo wa kuendelea kututumikia nami nitakua nawe bega kwa bega katika yenye haki na usawa ila ya ukandamizi nitakupinga bado

Naomba kukuwakilishia waraka huu popote ulipo Ikulu na Mungu anisaidie
HAPO KWENYE RED UMECHEMSHA.....

Watanzania muambiwe mara ngapi au hadi lini ndio Mtaelewa? Jina la Raisi linatakiwa litajwe lote au ndio unataka kutuambia umepata GPA chini ya 3.5 so hauko bright? ndio usamehewe tu eenh!
 
Anaesubiri ajira za Serikali huyo ni ****** wa kutupwa
Ndivyo mfumo wa elimu yetu ulivyo sipaswi kulaumiwa maana elimu yetu haituandai kujiajiri bali kuwa mtumwa wa serikali
 
Back
Top Bottom