Kaluluma
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 474
- 622
Habari za leo wakuu,kijana wenu naomba yeyote mwenye pikipiki kwa ajili ya bodaboda anipatie nimfanyie kazi kama dereva wake kwa hesabu tutakayokubaliana kwa uaminifu mkubwa kabisa.
Au kama kuna ambaye anafahamu wapi nitapata mkopo wa pikipiki unaolipiwa either kwa kila wiki au mwezi kwa Dodoma,naomba anijuze.
Pia kama kuna mtu anaweza nipatia pikipiki yake tuandikishane niwe nampatia kiasi tulichokubaliana kila asubuhi.
Napatikana Dodoma.
Natanguliza shukrani