I think njia ya email itamfaaNina NCERT TEXT BOOK ZA CHEMISTRY AND PHYSICS BUT I DON'T KNOW THE WAY I CAN SEND THEM 2U BRO
Kama upo DSM,nenda kwenye matuition ya mchikichini(sina hakika kama bado wapo mana tangu nimalize advance huu ni mwaka wa sita sijaendaga huko) huwa wanauza notes za kila ainaHabari zenu wakuu, poleni kwa majukumu ya kila uchao. Kama mnavyofahamu ajira ni ngumu kipindi hiki, sasa basi katika kuhangaika nimepata katwisheni ka kufundisha kidato cha tano na sita, chemistry na physics, changamoto inayonikabili ikawa notes, sina kabisa notes wala materials ya A-level, hivyo basi naomba kwa mdau yeyote mwenye notes za a-level au vitabu( soft copy) vya chemistry na physics anisaidie, nikapambane na hali yangu mbele ya safari.
Ahsanteni
masiamsokwa8@gmail.com ni email yangu nitafute nikurushie pdf za ncert text book chemistry and physics for class 11Habari zenu wakuu, poleni kwa majukumu ya kila uchao. Kama mnavyofahamu ajira ni ngumu kipindi hiki, sasa basi katika kuhangaika nimepata katwisheni ka kufundisha kidato cha tano na sita, chemistry na physics, changamoto inayonikabili ikawa notes, sina kabisa notes wala materials ya A-level, hivyo basi naomba kwa mdau yeyote mwenye notes za a-level au vitabu( soft copy) vya chemistry na physics anisaidie, nikapambane na hali yangu mbele ya safari.
Ahsanteni
OK sawa mkuumasiamsokwa8@gmail.com ni email yangu nitafute nikurushie pdf za ncert text book chemistry and physics for class 11
Hio audio ina uhusiano upi na mada ?Au search google ncert text book class 11 for chemistry and physics in pdf form
nirushie na mimi mkuu kwenye elibless87@gmail.com
Sorry brazamasiamsokwa8@gmail.com ni email yangu nitafute nikurushie pdf za ncert text book chemistry and physics for class 11
Nirushie na mim mkuu beatsmaster89@gmail.com na biology pia kama unazo....ntasukurumasiamsokwa8@gmail.com ni email yangu nitafute nikurushie pdf za ncert text book chemistry and physics for class 11