Bigbootylover JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 2,847 Reaction score 1,835 Feb 7, 2016 #21 Hii ndo inaifanya JF inakuwa Best App, humu unaweza koromeana na yeyote, wote ni kama tunaumri sawa, unafanya vurugu zako bila kijishtukia
Hii ndo inaifanya JF inakuwa Best App, humu unaweza koromeana na yeyote, wote ni kama tunaumri sawa, unafanya vurugu zako bila kijishtukia
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,954 Reaction score 831,493 Feb 8, 2016 #22 Bigbootylover said: Hii ndo inaifanya JF inakuwa Best App, humu unaweza koromeana na yeyote, wote ni kama tunaumri sawa, unafanya vurugu zako bila kijishtukia Click to expand... Pamoja na hilo lakini pia kuna sheria taratibu na kanuni ukizivunja kuna adhabu zake
Bigbootylover said: Hii ndo inaifanya JF inakuwa Best App, humu unaweza koromeana na yeyote, wote ni kama tunaumri sawa, unafanya vurugu zako bila kijishtukia Click to expand... Pamoja na hilo lakini pia kuna sheria taratibu na kanuni ukizivunja kuna adhabu zake
chiefnyumbanitu JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 906 Reaction score 426 Feb 10, 2016 Thread starter #23 Smart911 said: Usiri ni muhimu katika mambo yako... Click to expand... we ficha tu lkn ipo siku utafichuka tuu...
Smart911 said: Usiri ni muhimu katika mambo yako... Click to expand... we ficha tu lkn ipo siku utafichuka tuu...
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Feb 11, 2016 #24 Bigbootylover said: Hii ndo inaifanya JF inakuwa Best App, humu unaweza koromeana na yeyote, wote ni kama tunaumri sawa, unafanya vurugu zako bila kijishtukia Click to expand... Kule kwenye siasa ndio huenda huwa tunajibizana na Magufuli kabisa kama ni mpenzi wa hivi vitu hahahaah
Bigbootylover said: Hii ndo inaifanya JF inakuwa Best App, humu unaweza koromeana na yeyote, wote ni kama tunaumri sawa, unafanya vurugu zako bila kijishtukia Click to expand... Kule kwenye siasa ndio huenda huwa tunajibizana na Magufuli kabisa kama ni mpenzi wa hivi vitu hahahaah
Rahabu JF-Expert Member Joined Jan 21, 2014 Posts 5,527 Reaction score 3,344 Feb 11, 2016 #25 Wee ni 0716?
Rahabu JF-Expert Member Joined Jan 21, 2014 Posts 5,527 Reaction score 3,344 Feb 11, 2016 #26 Ushawahi kukutana gest na mkweo