Naomba nishaurini kuna mapenzi hapa

Naomba nishaurini kuna mapenzi hapa

aisee kwenu siji! halafu huo ni ubinafsi, yani kila siku mi ndo nikufuate???? kwakuwa mi ndo nakupenda saana au?

nawewe kama unapenda kumuona usingekaa miezi yote hiyo eti unamsubiri aje kwenu, kwakweli amechoka! onesha kumjali hata kwa kumtoa nje ya nyumbani, shauri yako zubaa wanaoyajua wale mzigo
 
Habari wana MMU.

Kijana mwenzenu yananisibu haya.

Nina mpenzi wangu ikifika october 24 tunatimiza mwaka mmoja, ila kuna kitu nashindwa kumuelewa, wakati tunaanza mahusiano alikuwa hamalizi wiki moja anakuja home kwetu.

Siku zilivyozidi kwenda akapunguza kuja kwetu nikimuuliza anasema eti anaona aibu watamchoka home, mimi nikamwambia wakikuchoka, mimi c wao akasema haya atabadilika.

Baadae akarudia tena sasa imekuwa kubwa kuliko yaani tangia tuonane tar 28.04.2014 mpaka leo hatuja onana tunaongea kwa simu na msg tuu.

Nikimuuliza majibu hana, anasema hata yeye anashangaa eti hajui kwa nini hatuonani, cha kushangaza anadai eti ananipenda na anataka niwe mumewe mungu akipenda.

Ila me naona haoneshi ukweli kwa hayo maneno anayosema.

Je ni kweli wapenzi mnaweza mkakaa zaidi ya miezi 3 msionane tena hapahapa dar?

Kama inawezekana hivi sababu inaweza ikawa nini?

kama haiwezekani je kuna mapenzi ya kweli hapa?


Pliiz toa ushauri kama unaona umeguswa si vema kutukana.

Nawasilisha.

naona unasubiria meli ya kwenda morogoro
 
thnxx eshy...namtoaga thana....thaiv anasema hajui why haonani na mm??yaan anaonesha hayuko tayar kuona na mm kinachonishangaza anasema bado ananipenda..cjui nifanyaje hapo???
 
hata mm naona hii meli inazama...ila kinachoniumiza anasema ananipenda sana na bado ananihitaj.je nimfanyaje???
 
okay..thnx...ila anajifanya bado ananipenda...ndo napo pata taab hapo..
 
kuna watu mnapenda ubosd sana.shukuru mungu hata anakuambia bado anakupenda.
 
thnxx eshy...namtoaga thana....thaiv anasema hajui why haonani na mm??yaan anaonesha hayuko tayar kuona na mm kinachonishangaza anasema bado ananipenda..cjui nifanyaje hapo???

kashikiliwa kwingine huyo, bado hajaamua aende wapi!
 
itakuwa coz c kawaida maana majibu yake cyaelewi...poa ngoja nione what will happen
 
yap...huwa tunameet different place tena anapotaka yeye...ila ndo kawa hivyo now days
 
Hujaona kosa sehemu?? Au unaona kila kitu sawa??>
 
mwenzio analishwa bataz huko,subiri ziishe kwanza.
 
Back
Top Bottom