Siku hizi kuna review books ambazo zina mkusanyiko wa hizo past papers, za NECTA.
Kwa hiyo ni bora ukatafuta hivyo vitabu.
Pia pitia tovuti hii
Past Papers/Resources – Maktaba by TETEA unaweza kupata baadhi ya past papers za NECTA za masomo yote.
Kila la kheri.