mwanaume anapenda achepuke yeye ila we ukichepuka ndo utakaobeba begi tu kwenu na kujifanya kapandisha mabp na maoilcom yotee.safi sana manaye kamwaga mboga mke kamwaga ugali na maji ya kunawa!
Ha ha ha World Cup LET'S GO CRAZYHahahaaaaaa!!!
Hili kombe lina washabiki wa vingi kumbe!!!
Ha ha ha World Cup LET'S GO CRAZY
Alipolalia ndo mdada alipoamkia
Ngoja nami nionekane tofauti....
Hivi best,hawa wachezaji wa timu zinazoshiriki Wedi Capu wamepewa jezi ndogo au ndio 6 packs?
kuna somo gani hapo sasa?
Evelyn Salt come this way uone mashabiki wa Wedi Capu wanaongezeka!!!Wana six packs bana.kama wale wa Cameroon...duh
Hujui..?..hehehehhe
funguka
kuna somo gani hapo sasa?
kumbe lile jicho kodo kwenye screen dakika 90
huwa unachek 6 packs tu ha ha ha
bora mi huwa naibia ibia kidogo wale wanaovaa bukta bila tight
kama waafrika wala msjiulze wao wanajua hawafk mbali.Sasa wanatia bdii kwenye kunyoa vduku,kupga gym na kuvaa matshet ya watoto,na kudance xana wakpata kagol
Evelyn Salt come this way uone mashabiki wa Wedi Capu wanaongezeka!!!
Thank you mwallu kwa ku bold!!!!!