Naomba nionekakane tofauti........

Naomba nionekakane tofauti........

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,391
Reaction score
1,458
kwa wale wanaozani mwanamke ni dhaifu, itakua ni msemo tu!! juzi tu mtaani kwetu bosi mmoja na kiongozi wa serikari halijikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuleta nyumbani mtoto wake wa kike aliezaa na binti mmoja mtaa wa pili, sasa ana miaka mitano huku akitoa kauri .....KITANDA HAKIZAI HARAMU na akalazimisha mtoto lazima akae home kwake. sasa kilichonifanya niamini kuwa wanawake wana nguvu zaidi ya wanaume kwa kwa kuonesha emotional maturity ni pale alipomueleza mumewe hakuna taabu ila na wewe uwe mvumilivu.......... mimi kesho ntamleta mtoto wangu niliezaa na jamaa mmoja pindi nilipokuwa shule( sekondari), haikuwa hajizi kweli kesho yake wife yule kaja na mtoto wa kike pia umri 15yrs na alipoulizwa ulizaa na nani akataja jamaa mmoja mtaani kwetu ambae kitaa pote wanamjua ni fataki mwanzo mwisho........ jamaa huyo kuskia hivyo alipatwa na mshituko na kupoteza fahamu, thanks God tunaelezwa badae alizinduka hila hajaweza hata kutoka ndani kwa mda wa wiki sasa. SASA NIMEELEWA WANAUME NI DHAIFU KULIKO WANAWAKE. mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.:angry::angry::angry:
 
hahaaaa ye kajiona mjanja wa miaka 5 kmb mwenzie mjanja tng miaka 15 ago
 
Mmmh haya " pundamilia nae ana mistari ila hajawahi kurekodi"
 
Ni ukweli ambao wanawake wengi hawaujui bt ukweli.si unaona mbasha alivyosalim amri Kwa flora!mwanamuke sio mutu ya kushindana nae..hehehee
 
mwanaume anapenda achepuke yeye ila we ukichepuka ndo utakaobeba begi tu kwenu na kujifanya kapandisha mabp na maoilcom yotee.safi sana manaye kamwaga mboga mke kamwaga ugali na maji ya kunawa!
 
Ngoja nami nionekane tofauti....
Hivi best,hawa wachezaji wa timu zinazoshiriki Wedi Capu wamepewa jezi ndogo au ndio 6 packs?
kumbe lile jicho kodo kwenye screen dakika 90
huwa unachek 6 packs tu ha ha ha
bora mi huwa naibia ibia kidogo wale wanaovaa bukta bila tight
 
kumbe lile jicho kodo kwenye screen dakika 90
huwa unachek 6 packs tu ha ha ha
bora mi huwa naibia ibia kidogo wale wanaovaa bukta bila tight

Hahahaaaaaa!!!
Hili kombe lina washabiki wa vingi kumbe!!!
 
mwanaume anapenda achepuke yeye ila we ukichepuka ndo utakaobeba begi tu kwenu na kujifanya kapandisha mabp na maoilcom yotee.safi sana manaye kamwaga mboga mke kamwaga ugali na maji ya kunawa!

Hahahaaa na kachumbari na fruits salad na achari na juice lols!
 
mwanaume anapenda achepuke yeye ila we ukichepuka ndo utakaobeba begi tu kwenu na kujifanya kapandisha mabp na maoilcom yotee.safi sana manaye kamwaga mboga mke kamwaga ugali na maji ya kunawa!

Inajulikana hivyo..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom