Naomba nikuulize swali......

lyinga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2013
Posts
2,494
Reaction score
1,057
''Hivi ikitokea siku moja ikagundukika Meno ya binaadamu yana THAMANI kuzidi yale ya TEMBO na njaa yako utabaki na mangapi kinywani mwako ?.
 
Ha ha ha! Tutaona vibogoyo weengiii!!!
 
ntaenda kuomba kazi mochwari
 
nitauza magego tu basiiiiiii na nikipata ka son yatakayong'oka hayatupwi tena juu ya bati
 
Sitouza hata moja labda waniue wayanyofoe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…