Nikopeshe 1,000,000 nina dhamana nzuri kulinda pesa yako!!

Kajole

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
1,667
1,642
Habari?,
Ninahitaji Tsh 1,000,000 ili kuboresha biashara zangu na nimekwama. Hivyo naomba kama kuna mtu anaweza nikopesha hiyo pesa nitairudisha baada ya miezi 2 na riba tutakayokubaliana.
Dhamana ya mkopo ni kiwanja kilichojengwa msingi tayari na kipo IRINGA MJINI.
Asante sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee nimekuja fasta,nikupe hela,kumbe kiwanja chenyewe kipo iringa!?? Pole mkuu,ingekuwa dar kesho mapema tu ungepata hiyo Ankara....!!!

Cc; miss natafuta
 
Kuna mdingi mmoja akikupesha then uache mali kama rehani basi ndio ujue umeshatenganishwa na mali yako kiivyo yaani.

Basi ana magari mengi, viwanja pikipiki nyingi sana kwa style hii.
Sijui huwa anafanya mazingaombwe gani huyu.

Yaani hata ukimwambia unahitaji milioni mia mbili sasa hivi atakuambia uje kuchukua kesho asubuhi.
 
Anapatikana wapi?

Yuko Sinza hapo..siku za kumlipa zikifika anapotea kama wiki nzima hutamuona, anarudi siku tatu baada ya deadline na kujimilikisha mali yako akisimamia umeshindwa kulipa kwa wakati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hicho kiwanja hakina mgogoro mkuu?maana kwa uzoefu wangu Hilo eneo lina migogoro mingi ya ardhi na kesi nyingi ziko mahakamani.
 
Mmmh mkuu sijawah sikia mgogoro eneo hili toka nmenunua mwaka 2007. Huo mgogoro ni kati ya nan na nani?
 
Back
Top Bottom