shegacool2015
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 394
- 133
Habari za usiku ndugu zangu...naomba niulize, hivi vyeti vya ndoa vizovyotolea na Bakwata vinafahamika serikalini? Au kuna vingine vyeti tofauti na hivyo?
Habari za usiku ndugu zangu...naomba niulize, hivi vyeti vya ndoa vizovyotolea na Bakwata vinafahamika serikalini? Au kuna vingine vyeti tofauti na hivyo?
Ndoa inafugwa kwa sheria za nchi ila dini ni wakala wa ufungishaji ndoa vyeti vyote vinatoka serekalini hivyo ni ndoa halali.
Habari za usiku ndugu zangu...naomba niulize, hivi vyeti vya ndoa vizovyotolea na Bakwata vinafahamika serikalini? Au kuna vingine vyeti tofauti na hivyo?
Mamlaka pekee inayotoa vyeti vya ndoa ni serikali kwa mujibu wa sheria ya ndoya ya mwaka 1971. Bakwata kwa mujibu wa sheria hii ni baraza la usuluhishi la kidini inapotokea mgogoro wa ndoa. Vyeti vya bakwata havina nguvu yoyote kisheria ni utambulisho wa kidini kama vilivyo vyeti vya ubatizo kwa wakatoliki. Sheikh aliye na kibali cha kufungisha ndoa anapaswa kutoa cheti cha ndoa cha kiserikali
Mkuu, kwa hioo Kama nataka cheti kinachotsmbuliwa kisheria inabidi nitafute cha serekali? Taratibu zakukipata ziko VP??
Cheti ni kimoja ila ndugu yangu hicho cheti ni dhuluma ya mali zako mkishakisaini ujue mali ni zenu
Mkuu, kwa hioo Kama nataka cheti kinachotsmbuliwa kisheria inabidi nitafute cha serekali? Taratibu zakukipata ziko VP??
asante sana, kwahiyoo hua hakuna vyeti vya serekalini?
Kwani mali kuwa zenu kuna shida?
Kuna shida!
ila usiniulize shida zipi sipo tayari kukujibu!