I wish I could have one ningekupa mwanakijiji, na mimi nasubiri kwa hamu sana kusikia toka kwake maana hili sakata la ile nyumba aliyojengewa bado linanitatiza sana na natamani sana kupata majibu yakinifu kwani yaliyotolewa hadi sasa hayajaniridhiza hata kidogo,naamini ukipata namba yake hilo litakuwa ni moja ya maswali yako..,wana JF mwenye namba ya Gavana Ndulu amsaidie Mwanakijiji tafadhali.