Luge son
Member
- Jun 16, 2016
- 24
- 18
Habari za kazi ndugu zanga nimekuja mbele yenu kuomba nafasi ya kazi upande wa udereva magari madogo na bajaji, pia kazi za uuzaji wa maduka spare za magari nina ujuzi nazo lakini hata uuzaji wa bidhaa zingine naweza pia, lakini pia kazi sales naweza. Kwa yoyote anaeweza nipa direction au mwenye nafasi tusaidiane. elimu yangu ni chuo