Hypershulemia
JF-Expert Member
- May 19, 2021
- 214
- 701
πΌπππ ππππππ πππππ, ππππ πππππππππ πΊπππππ 821ππ ππππππππ πππ£π ππ ππ£π πππππ ππ ππππ πππ πππ ππππ πππππππππWanabodi: Binti yangu amemaliza form 6, sasa linakuja suala la kwenda JKT aisee binafsi yangu siitaji bint yangu aende uko kabisaa maana roho yangu inakataa sasa je asipokwenda kuna madhara gani unayoweza yapata uko baadae??na omba mje kwa kunishauri..ila sitaki aende uko.
Ninayo yaona kwa wale vijana uko jkt yanaogopesha sana kama mzazi..isitoshe kapangiwa kigoma uko...yaan naona kama namtupa mtoto
Hakuna cha ushauri mwema Huko kuna makatili tupu
Hahaaa ukute ana sura kama KagereAendee , asiende, tutamla tu,
HahahahahHahaaa ukute ana sura kama Kagere
Mlete tumtafune, hawezi kutoka lazima tumle nakuhakikishia.najaribi kuwaza hao walioenda uko na kirudi wanamaajabu gani??hebu mwenye uzoefu anisaidie
Sana tu! Kupenda mteremko kunagharimu.Na wanachakatwa sana tu
na ngono pia usisahauatakosa experience nzuri ya jeshi tu zaidi ya hapo hakuna la ziada! Jeshini kuna raha yake , vituko, mateso, huzuni na furaha vyote vipo, hata mm nimepita kwa mujibu wa sheria ila sijawahi jutia, ni kumbukumbu nzuri sana maishani
Mdogo etu wa mwisho wa kike yupo UDSM Mwaka wa kwanza,Wanabodi: Binti yangu amemaliza form 6, sasa linakuja suala la kwenda JKT aisee binafsi yangu siitaji bint yangu aende uko kabisaa maana roho yangu inakataa sasa je asipokwenda kuna madhara gani unayoweza yapata uko baadae??na omba mje kwa kunishauri..ila sitaki aende uko.
Ninayo yaona kwa wale vijana uko jkt yanaogopesha sana kama mzazi..isitoshe kapangiwa kigoma uko...yaan naona kama namtupa mtoto
kwa mwanmke mwenye msimamo na anejitambua hakuna mtu anaweza kukugusa , na ni kosa jeshini kujihusisha na mapenzi ! ila kama mtaani anaweza kuliwa kizembe kwanini jeshini asiliwe pia! Ngono ipo mpaka bungenina ngono pia usisahau
#HUNIJUI _SIKUJUIkwa mwanmke mwenye msimamo na anejitambua hakuna mtu anaweza kukugusa , na ni kosa jeshini kujihusisha na mapenzi ! ila kama mtaani anaweza kuliwa kizembe kwanini jeshini asiliwe pia! Ngono ipo mpaka bungeni
Hakuna cha maana huko. Miaka hii bado watu wanafundishwa kuvumilia shida na mateso badala ya kuwa wabunifu kutatua changamoto za maisha.najaribi kuwaza hao walioenda uko na kirudi wanamaajabu gani??hebu mwenye uzoefu anisaidie