Naomba mwongozo kwa vijana waliomaliza chuo na kutakiwa kujiunga JKT

Wanabodi: Binti yangu amemaliza form 6, sasa linakuja suala la kwenda JKT aisee binafsi yangu siitaji bint yangu aende uko kabisaa maana roho yangu inakataa sasa je asipokwenda kuna madhara gani unayoweza yapata uko baadae??na omba mje kwa kunishauri..ila sitaki aende uko.

Ninayo yaona kwa wale vijana uko jkt yanaogopesha sana kama mzazi..isitoshe kapangiwa kigoma uko...yaan naona kama namtupa mtoto
π™Όπš”πšžπšž πš–πšžπšŠπšŒπš‘πšŽ πšŠπšŽπš—πšπšŽ, πš–πš’πš–πš’ πš—πšŠπš”πšžπš–πš‹πšžπš”πšŠ π™Ίπš’πšπš˜πš–πšŠ 821πš”πš“ πš—πš’πš•πš’πš™πš’πšπšŠ πš”πš˜πš£πš’ πš–πš πšŽπš£πš’ πš–πš–πš˜πš“πšŠ πš—πšŠ πš—πšžπšœπšž πš’πš•πšŠ πšŒπš‘πšŠ πš–πš˜πšπš˜ πš—πš’πš•πš’πš”πš’πš˜πš—πšŠ
 
Hakuna cha ushauri mwema Huko kuna makatili tupu
πš—πšŠ πš‘πš’πšŸπš’ 𝚜𝚊𝚜𝚊 πš πšŠπš—πšŠπš πšŠπšœπšžπš‹πš’πš›πš’ πš”πš πšŠ πš‹πšŠπšœπš‘πšŠπšœπš‘πšŠ 𝚠𝚊𝚝𝚘𝚝𝚘 𝚠𝚊 πšπš˜πš›πš– πšœπš’πš‘
 
Tunamsubili tupe kj" namba tumpokee!!

Mgambo(Tanga)
Malamba(Tanga)
Mlale(songea)
Makutupola(Dodoma)
Msange(Tabora)
Ruvu(pwani)
Rwamkoma(mara)
Itaka(songwe)
Milundikwa(sumbawanga)
Makuyuni
Mtabila(kigoma)
Kanembwa(kigoma)
Orjolo(Arusha)

Wapi hapo mkuu:

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi ambayo hayajaenda JKT utayaona tu na comments zao,, na truth hurts but most of you mnaosema asiende mmejaa stereotypes,,,na you are COWARDS wanajeshi hawabaki,, ila kama mwanao anapenda kitonga basi lazima aliwe
 
atakosa experience nzuri ya jeshi tu zaidi ya hapo hakuna la ziada! Jeshini kuna raha yake , vituko, mateso, huzuni na furaha vyote vipo, hata mm nimepita kwa mujibu wa sheria ila sijawahi jutia, ni kumbukumbu nzuri sana maishani
na ngono pia usisahau
 
Wanabodi: Binti yangu amemaliza form 6, sasa linakuja suala la kwenda JKT aisee binafsi yangu siitaji bint yangu aende uko kabisaa maana roho yangu inakataa sasa je asipokwenda kuna madhara gani unayoweza yapata uko baadae??na omba mje kwa kunishauri..ila sitaki aende uko.

Ninayo yaona kwa wale vijana uko jkt yanaogopesha sana kama mzazi..isitoshe kapangiwa kigoma uko...yaan naona kama namtupa mtoto
Mdogo etu wa mwisho wa kike yupo UDSM Mwaka wa kwanza,
Alipangiwa Jkt
mm nilishauri familia asiende...Na kwel hatukumpeleka

Sidhani kama ni sehemu sahihi sana kwa hawa bint zetu....
Mdogo etu mwenyewe ni She got gwain...kama mangwear alivyoimba
 
Yani unakimbia kisa ngono jeshini we unahisi vyuoni kuko salama sidhani tena vyuoni mabinti wanafanya ngono Sana.Ila kikubwa nachokiamini akili ya binti na msimamo wake ndo utakao mponya katika kujizuia na ngono iwe mtaani,vyuoni au jeshini
 
kwa mwanmke mwenye msimamo na anejitambua hakuna mtu anaweza kukugusa , na ni kosa jeshini kujihusisha na mapenzi ! ila kama mtaani anaweza kuliwa kizembe kwanini jeshini asiliwe pia! Ngono ipo mpaka bungeni
#HUNIJUI _SIKUJUI
 
Jeshini atajifunza:
-,MATUSI
-NGONO ZEMBE
-KUMWAGILIA BUSTANI
-KUFUGA KUKU
-KATIBA YA TANZANIA
-UZALENDO/KUIPENDA CCM.

Ushauri: Hapo cha maana ni bustani na kufuga kuku, vingine vyote ovyo tupu kwa karne hii ya 21. Kama kuku na bustani hata wewe unaweza mfundisha. Pia katiba hata google play store ipo.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom