T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 10,650
- 34,923
Girlfriend wangu nilimpeleka mwenyewe pale Ruvu JKT, tulikuwa tunadate A level tukamaliza tukapanga hatuendi jeshi. Mimi nikafika mtaani nikakaa wiki nikaunga somewhere nipige kazi moja inahitaji muda sana. Yeye baada ya muda kidogo alitamani akaenda. Wakati wa kwenda nilikaa nae siku mbili tukanunua mahitaji yote nikamsindikiza mpaka kule.najaribi kuwaza hao walioenda uko na kirudi wanamaajabu gani??hebu mwenye uzoefu anisaidie
Uko alitoroka mara tatu kuja mtaani. Alipata mabwana kibao akawa janjajanja, baada ya hapo maboyfriend anaofatisha wote wanasoma jeshini, labda kama hiyo ndio faida. Tofauti na hiyo nikitafuta faida ya yeye kwenda kule sioni.
Wapo rafiki zangu wengi wameenda uko ila mpaka leo faida za kwenda zisioni. Nina wengine hatukwenda tukakomaa mtaani, wakati wanalala maporini uko nikajichanga nikapata faida ya 1M+, mwingine akaunga nguvukazi kwenye mradi wa kuku akapata 2M, mwingine alifanya miradi ya baba yake na kuja na 700k ila matumizi yake makubwa huyu. Hiki kipindi cha kusubiri chuo, waliporudi wale wakakuta tushazoea mitaa hata chuo maisha yalianza safi wao wakaja wanatukana tu basi.
Watoto wa kike wote walioenda uko hamna kitu ya maana wamepata. Wengine walitoroka hawakumaliza, wengine waliteswa.