BenBillion Member Joined Feb 15, 2017 Posts 7 Reaction score 3 Feb 8, 2021 #1 Habari wana-JF!Ben hapa,mkazi wa jijini Dar es salaam, Tabata. Kama unagari yako (solon car) na ungependa tufanye biashara ya Uber tafadhali niko hapa. Msingi iwe kwene hali nzuri tu na nakuhakikishia kuitunza pia! Asante. 0682294921
Habari wana-JF!Ben hapa,mkazi wa jijini Dar es salaam, Tabata. Kama unagari yako (solon car) na ungependa tufanye biashara ya Uber tafadhali niko hapa. Msingi iwe kwene hali nzuri tu na nakuhakikishia kuitunza pia! Asante. 0682294921
Emmanuel180 JF-Expert Member Joined Dec 17, 2019 Posts 326 Reaction score 627 Feb 9, 2021 #2 Natafta kazi ya bajaji eneo moshi mjini kana uko tayari tuwasiliane iwe ya mkataba au sio mkataba namba 0757788194
Natafta kazi ya bajaji eneo moshi mjini kana uko tayari tuwasiliane iwe ya mkataba au sio mkataba namba 0757788194