Naomba mwenye dondoo za kuanzia za M Power Academy

Naomba mwenye dondoo za kuanzia za M Power Academy

mdau_mimi

Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
5
Reaction score
2
Habari za asubuhi ndugu wanajamvi?

Nimepata offer yauitwa kwenye Academy ya hawa jamaa wa M Power(Arusha). Naomba mwenye dondoo za kuanzia za hawa jamaa anijuze. Mathalani, muda halisi wa training zao, rate za kuajiri kwa wanaomaliza vyeama kwenye hiyo academy, na Mengineyo kama yapo.

Nawasilisha
 
Me niliwah kupata nafasi pale,training ni mwezi mmoja na utajigharamikia mwenyewe.pia hakuna guarantee ya kupata kazi,unaweza ukakaa 2 weeks,baada ya mchujo wakakutosa.
 
Me niliwah kupata nafasi pale,training ni mwezi mmoja na utajigharamikia mwenyewe.pia hakuna guarantee ya kupata kazi,unaweza ukakaa 2 weeks,baada ya mchujo wakakutosa.

Nashukuru sana mkuu Tang'ana.... Unaweza kunisaidia pia kuwa wanapokua wanaita watu kwenye training kama hivi mnaweza kuitwa wangapi kwa ajili ya training??
 
Nashukuru sana mkuu Tang'ana.... Unaweza kunisaidia pia kuwa wanapokua wanaita watu kwenye training kama hivi mnaweza kuitwa wangapi kwa ajili ya training??

sisi tulikua kama 70 hvi,baada ya mchujo tukabaki 30 na ushehe.
 
sisi tulikua kama 70 hvi,baada ya mchujo tukabaki 30 na ushehe.
Ndugu,
Criterias za mchujo ni zipi,nini chakufanya u-succceed, Je,kuna mitihani tena na Gharama za accommodation zikoje.Vipi kuhusu payment zao na mazingira ya kazi kwa ujumla provided I have two options to choose.Nitashukuru kwa majibu ndugu.
 
Kwenye training wanaangalia mambo mengi,mfano jinsi unavyopresent mada,unavyocooperate na wenzio etc.gharama za malazi kama ujuavyo arusha kila kitu ni ghali.malipo yao kama huna majukumu mengne yanaridhsha kiasi chake.
 
Mkuu,kwa nini kufichaficha,kwa nini usiseme tu uhalisia ulivyo.This is JF Where we dare to talk Openly....Ndio faida pekee na kubwa ya JF. Kama utashindwa kutaja kiasi exactly basi angalau sema hata range,Je,ni within 350-500,500-700,700-1000 au > 1000..? /Month
 
Ukiwa probation unalipwa 500k kama gross na baada ya probation kuisha utapewa gross ya 550k,ila kuna vibonus vya hapa na pale ingawa co siku zote.
 
Habari za asubuhi ndugu wanajamvi?

Nimepata offer yauitwa kwenye Academy ya hawa jamaa wa M Power(Arusha). Naomba mwenye dondoo za kuanzia za hawa jamaa anijuze. Mathalani, muda halisi wa training zao, rate za kuajiri kwa wanaomaliza vyeama kwenye hiyo academy, na Mengineyo kama yapo.

Nawasilisha

M power ni biashara ganu na inahitaji mtaji gani na faida zakr sikoje wakuu
 
M power ni biashara ganu na inahitaji mtaji gani na faida zakr sikoje wakuu
Ni Kampuni ya Umeme hawa wanaongelea Ajira... Nime - Google nimeona hili Tangazo ingawa ni la zamani

[h=2]Wednesday, October 29, 2014[/h]
[h=3]M-POWER ACADEMY - ACCEPTING APPLICATIONS[/h]
Off Grid Electric provides affordable and reliable energy (M-POWER) to communities that lack such power. We are the fastest growing solar company in Tanzania and based in Arusha.

The M-Power Academy is a 4 week business education training program for university graduates. All participants will learn valuable business skills that can be used in many different jobs. Top candidates will receive job training for Off Grid Electric and the most promising participants will be offered the opportunity to work at Off Grid Electric.

There is a competitive selection process to enroll in the Academy which includes online tests and an interview. The tests and interview will take place the week of November 3rd. There will be recruitment in Arusha and Mwanza. Classes are scheduled to begin on November 17th in Arusha.

If you are interested in applying to the Academy, you must fill in all the information at the link below by 6pm on October 30. We will email you on October 31st to schedule a time for you to participate in the selection process.

http://goo.gl/t1PLpJ

Requirements to apply: you must be a university graduate and available full-time starting November 17th.

[h=5]APPLICATION INSTRUCTIONS:[/h]
Please go to the link and fill in the response form. No CV or certificates required at this time.

​
 
Ukiwa probation unalipwa 500k kama gross na baada ya probation kuisha utapewa gross ya 550k,ila kuna vibonus vya hapa na pale ingawa co siku zote.

Kumbe mishahara yao ya kawaida tu.Sasa mbona wanahitaji watu walio "very competent" namna hii.Ila kwa kuwa kampuni ndo kwanza inaanza kujitanua si mbaya sana.!Ukizingatia na kiwango cha ukosefu wa ajira ni mara mia uwe huko.. Au yawezekana wewe unasemea scale za muda mrefu uliopita..Are you sure kuwa data zako ni updated..? Maana nilipata fununu kuwa ni 800 kwa sasa..Ila habari za kuambiwa changanya za zako...Asante kwa uvumilivu wako kwa kujibu maswali yote haya.
 
800k haijafka huko,kuna mshkaji nlimuacha pale,kanidokeza saiv anadaka gross ya 630k.
 
Mishahara yao ni mizuri sio mbaya,,,,inashawishi,,,mm mwenyewe nimepigiwa simu ya kufanya interview na hawa jamaa m.power,,,, ni vitu gani wanauluza pliiz
 
Back
Top Bottom