Naomba Mwaliko wa kuingia Canada

Mrs Bishanga

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
1,002
2,272
Wadau heshima kwenu.

Namshukru Mungu kwamba nipo fit na amenipigania kwenye changamoto mbalimbali na kunipitisha salama.

Kwa kifupi Maisha ya Tanzania yamenichosha. Nina malengo ya kuhamia Canada Ila Sipendi kuingia Kama mwanafunzi.

Ninaomba Kama yupo mwana JamiiForums anayeishi nchi hiyo na yupo tayari kunitumia mwaliko anisaidie. Nimeshawahi kuishi nchi za Scandinavia hivyo namna ya kusurvive nikifika huko hakutanipa tabu.

Sitamuangusha atakayenisaidia.

Asanteni
 
Yuko mshkaji wangu ambae ni Ami yangu ndugu na fadha naweza kukuunganisha nae yy anakutumia inverst card pamoja na document kubwa la ko ww nikwenda ubalozini kuomba viza tuu halafu ukishapata viza yy hahitaji chochote kutoka kwako Bali kama unataka kumpa pesa unaenda kumpa pale akishakupokea na kukupatia hifadhi pale pindi kusha fika Canada lkn hachukui pesa ya MTU mpaka iwe kushafika na hukupata vikwazo vovote Air port

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unaonekana uko na knowledge sana kuhusu hiyo nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mrangi hiyo link nilishapitia lakini nikaona navurugwa tu. Mualiko Ndio nimeona km short cut
Kuna dada nilimshughulikia hadi mualiko alipata lakin cha kushangaza alipoenda ubarozin kwenye interview kupewa visa akakosa...
Kwahiyo njia rahis kwasasa ni pesa,kuna nafasi huwa zinatoka ambazo ni kucheza na watu wa ubalozin,na uwe na million 2,chini ya hapo hawa watu hawakubali

Many of people they have gone through such ways.
Ila ukitaka ushaur mwingine nitafute nikushaur ila wa hapa hapa africa sio canada tena.
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom