Naomba muongozo wa ku appeal/kukata rufaa matokeo ya kidato cha nne

Edwin171

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
448
548
Habari wanajamvi,nilikuwa nahitaji msaada wa jinsi ya kukata rufaa matokeo ya kidato cha nne,pia bei ya kukata rufaa ni bei gani kwa yoyote anayefahamu anisaidie tafadhali
 
Nyie mpeni bei tu jamani atajua yeye ni nini anaenda kufanya kwa sababu inaonesha Una presha ya matokeo na 300% ulijua lazima utusue kwa hiyo nafsi inatapa tapa unaona wapo very unfair si tushapitia hizo stages tunajua matokeo yanavyovuruga minds za watu especially kwa wale waliokuwa wakiitwa vipanga ila kwa ushauri tu achana na appeal maana ni vigumu kuchomoka na hazipewi kipaumbele maana unaenda ku proof failure ya baraza wee tulia acha presha relax angalia nn cha kufanya
 
"watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"

unapoulizwa swali jibu swali. ushauri ni kama ziada ya majibu yako ila yeye hajalenga kutaka ushauri
 
Ahsanteni wanajamvi alama nilizopata ni hizi hapa English A History B civics D kiswahili D geography D math na biology f ila sikutegemea kabisa kupata hivi
 
Si mjibu swali, mbona mnahaha! Hadi mimi NATAKA KUKATA RUFAA SOMO LA PHYSICS. Nina uhakika 100% sijapata D, kama walivyoniwekea!
 
Ingia tovuti ya necta , kuna link hapo imeandikwa form uifungue, then utajaza form maalum ya kuapeal. kama ckosei ni sh20,000 kwa kila mtihani utakaoujatia rufaa.

@la kheri ndg maana kuapeal c kitu cha sport sport
 
Dah! Ahsante sana mkuu kwa maelezo yako. Kitu ninachotaka kujua, je wakisahihisha upya mtihani wako, muhusika unakuwepo au wanausahihisha mafichoni?
 
Ni kweli utaharibu pesa yako kwasababu wataitwa waalimu kusahihisha upya wakikuta ni kweli umeonewa hawatasema ukweli kwa wataadhibiwa na kulipa faini yule aliyekusahihishiwa mwanzo na ni waalimu wenzao wanalindana hutakaa ushinde
 
Ingia tovuti ya necta , kuna link hapo imeandikwa form uifungue, then utajaza form maalum ya kuapeal. kama ckosei ni sh20,000 kwa kila mtihani utakaoujatia rufaa.

@la kheri ndg maana kuapeal c kitu cha sport sport
unalipia cabinet ya watu 5 kama laki 250 hv nakumbuka kuna dogo alikata rufaa mwaka jana
 
Back
Top Bottom