Naomba muongozo wa hii kozi ya Community health

Una maanisha haina maana kabisa?
Elewa alichosema
Hajamaanisha haina maana Bali kajaribu kufafanua kwa wanaodhani anayehitajika kusoma community health ni MTU aliyesoma au kuwa na pass za physics and chemistry kitu ambacho siyo
Kwenye hii coz hayana ulazima ila ambalo ni lazima ni biology tu
Ndio maana mwana art naye anahusika maana anasoma biology pia cha msingi awe na pass kwenye hill somo
 
Community health ni uvuvuzela wa afya! Inahusiana na kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa afya hasa kinga ya afya kama chanjo, usafi na jinsi ya kujikinga na magonjwa ya mlipuko! Haihitaji sayansi kivile!
Nadhani ungefafanunua vizuri neno vuvuzela ili ueleweke unamaana gani?
Am pretty sure hili neno litatafsiri tofauti na pengine ulivyomaanisha Maelezo yako ambayo kwa namna moja au nyingine umeeleza vizuri sana
 
Kwaiyo mkuu unanishauri nisome iyo au nitafute course nyingine za arts
 
Kwa matokea hayo wanakuchukua mapema Sana,,,,,,, mie nina ndugu yangu alipata f ya biology lakini Leo anamlizia health system management
 
Back
Top Bottom