kigimbii Member Joined Jun 1, 2013 Posts 5 Reaction score 0 Jun 3, 2013 #1 habari wana JF nawaombeni munikaribishe kwa moyo wa upendo kabisa.nimeamua kujiunga humu baada yakuumwa mudaa mrefu na kktka kipindi changu kikugumu Jamii Forum ilikua ni sehemu yangu kujifariji na topic mbali mbali pamoja na comments zenu.Ahsante
habari wana JF nawaombeni munikaribishe kwa moyo wa upendo kabisa.nimeamua kujiunga humu baada yakuumwa mudaa mrefu na kktka kipindi changu kikugumu Jamii Forum ilikua ni sehemu yangu kujifariji na topic mbali mbali pamoja na comments zenu.Ahsante
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,334 Reaction score 108,418 Jun 3, 2013 #2 Karibu sana JF...
bily JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 8,029 Reaction score 5,813 Jun 3, 2013 #3 safi mkuu KARIBU SANA JF
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,104 Reaction score 2,619 Jun 3, 2013 #4 Karibu JF.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,671 Jun 4, 2013 #5 Karibu sana JF mkuu.
kigimbii Member Joined Jun 1, 2013 Posts 5 Reaction score 0 Jun 4, 2013 Thread starter #6 Ahsanteni wenyeji wa Jf.nashukuru mmchukua mudaa wenu kunikaribisha.
M marikiti JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 2,972 Reaction score 914 Jun 4, 2013 #7 Karibu sana mradi usiwe umenunuliwa
kigimbii Member Joined Jun 1, 2013 Posts 5 Reaction score 0 Jun 4, 2013 Thread starter #8 marikiti said: Karibu sana mradi usiwe umenunuliwa Click to expand... Mkuu ninunuliwe na nani?