CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Zidumu fikra za mwenyekiti wa chama chetuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!
CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Zidumu fikra za mwenyekiti wa chama chetuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!
CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Zidumu fikra za mwenyekiti wa chama chetuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!
Angekuwepo faiza Foxy mbona mambo yangekuwa safiiiiiiiiiiiii. Mjadala ungenoga.
Yuko wapi huyu mwanamke, au posho zimezuiwa hata kwaoAngekuwepo faiza Foxy mbona mambo yangekuwa safiiiiiiiiiiiii. Mjadala ungenoga.
ungesikia vipi wakati huangalii au kusikiliza mjadala bungeni?Pumba zingine bwana! shida sana.Kwa kweli mi nakerwa sana na usiri uliopo serikalini na mjengoni maana mtu anapokosea au kwenda kinyume na utaratibu wa bungeni mbunge husimama na kuomba mwongozo wa spika kwa mbwembwe nyingi sana ili amwadhibu mkosaji ila mi sijaona mbunge aliyeambiwa athibitishe kauli mbele ya bunge ukisomwa uthibitisho wake ili hukumu itolewe kulingana na uthibitisho huo.Mfano sijawahi sikia hukumu ya Zitto, Lissu na Lema ila naona uhitaji wa kuthibitisha unaendelea so naomba mchungaji ashindwe kuthibitisha ili spika amwadhibu na hapo ndo tutajua hatima ya hukumu nilizozitaja hapo juu.
Tatizo la kupeleka wachungaji bundeni badala ya kanisani. hapo hakuna kuhubiri kila ukisemacho ushahidi mkononi. Sioni mnacholalamika nyie watu.We ungeomba shetani aendelee kumzingira Lukuv, makinda, ole sendk, na wabunge wa CCM ili wasiuone ukweli kama kawaida yao. Kupitia mbunge wa nkenge, mwenyezi mungu kamsaidia Mch Msigwa kuthibitisha kuwa kule bukoba Pinda alipokelewa na magari zaidiya 60 kiasi kikubwa kuliko kile ambacho mchungaji alituhumu. Labda kwakuwa hakuna uwanja wa ndege maeneo mengi tungepata uthibitisho wa ndege pia.