Wacha kuazia mabaya kila siku, kumbuka shetani is already a big player...Hapo ndo anapo penda kucheza na lazima katika ndoa iilio tulia anatafuta njia moja, au nyingine kuanzisha kasoro kwenye ndoa hizo...Wasi wasi na Shaka shaka ndo zake hizo.Asante Hopecomfort, ulivyowaza ndivyo nilivyofikiria kuwa huwa lift inatokea kwa bahati, sasa hili ka kupiga simu kabisa kuomba lifti hapo ndiyo nilipata utata kwa kuzingatia ubinadamu wetu...
Si unajua shetani anapenda watu kama nyie mnao kuwa na wasi wasi hapo ndo anapo puliza moto mpaa unazidi kuwaka shauri yako....Si unajua ma wivu wivu ya kijinga, yanasababisha kuvunjika kwa ndoa.Namuamini sana tu fazaa lakini hii tabia ya hizi simu ndiyo ilinishangaza kidogo nikadhani kuwa haipaswi kuwa hivyo.
BPM hapa sijakuelewa,kwa hiyo kinachotakiwa asiwe anapiga simu awe anawahi mahali anapoweza kukutana nae? je unadhani kuendekeza lift pia ni sawa? kwanini mtu asijiendee tu ikitokea iwe ni goodluck?
Asante Hopecomfort, ulivyowaza ndivyo nilivyofikiria kuwa huwa lift inatokea kwa bahati, sasa hili ka kupiga simu kabisa kuomba lifti hapo ndiyo nilipata utata kwa kuzingatia ubinadamu wetu...
lugha kali hii:amen:Kama una wivu dawa ni kujinyonga tu,uwezekano mkubwa sana ni kuwa hao ni wake wenzio.
Namuamini sana tu fazaa lakini hii tabia ya hizi simu ndiyo ilinishangaza kidogo nikadhani kuwa haipaswi kuwa hivyo.
lugha kali hii:amen:
Kwa kweli kama lifti mi ntatoa sana tu na hata mke wangu akitoa sintojiskia vibaya hata kidogo, I want her to be free.Petcash rafiki,asante kwa mtizamo wako..lakini binafsi sikatai mtu kusaidiwa lakini unadhani ni sawa hata kama ni jioni wewe kama mume wa mtu uwe na mtu wako permanent wa kumpa lift hata kama mnakaa njia moja?je ni sawa kuwa unapokea simu za kuomba lift halafu huoni shida tena unafanya kuharakisha ili kumpick aliyekuomba lift?
Mmenikumbusha ule wimbo wa lifti.... Kilichonishangaza sio lifti mama watoto, ni tabasamu na vicheko mlivyokuwa navyo ndani ya gari..... Jamani kasema naniliu hapo juu raha ya lifti usiitegemee. Lifti ikishakuwa mazoea kuzaa mengineyo ni rahisi sana...Namuamini sana tu fazaa lakini hii tabia ya hizi simu ndiyo ilinishangaza kidogo nikadhani kuwa haipaswi kuwa hivyo.
aisee hii ni bongo movie live...lift ni mbaya!na foleni hii ya daslamu wataongea nini mpaka posta kwa mfano?