mfereji maringo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2010
- 1,037
- 250
nimeformat laptop yangu lkn sikudelete os ya mwanzo, nahitaji kuidelete bila kuiformat upya na kubaki na os mpya, nifanyaje?
</p></p>nimeformat laptop yangu lkn sikudelete os ya mwanzo, nahitaji kuidelete bila kuiformat upya na kubaki na os mpya, nifanyaje?
nimeformat laptop yangu lkn sikudelete os ya mwanzo, nahitaji kuidelete bila kuiformat upya na kubaki na os mpya, nifanyaje?
Fungua local disk yenye OS, tafuta faili liitwalo OLD WINDOWS kisha lidiliti. Faili hilo lina OS ya zamani pamoja na vitu vyote vilivyokuwepo katika hiyo OS