Inawezekana likawa ni Suala la mtandao kuhusu hizo text kwa sababu hata mimi muda mwingine huwa inanitokea. Kuhusu Chaja mi nadhani Betri inaweza ukawa umeikaanga, inasemekana Betri ukiwa unaichaji kila wakati kila wakati huwa inaaribika mapema. Ni Mtazamo wangu tu, ngoja wengine waje.