ulipaswa kujua yuko wapi, kwa vile namba ya simu na email yake unayo basi wasiliana naye tu. sisi hatuwezi kukusaidia chochote kama ninyi wenyewe hamjuanai hata kwa sura.....habari wanajf natumai ni wazima jamani na tatizo linalonisumbua mara kwa mara hili tatizo linahusu kupenda nilimpenda dada fulani humu jf yeye ndo alinitafuta mimi aliniomba tuwe marafiki nikakubali tukawa marafiki tukawa tunachat kwenye sim nikatokea kumpenda sana huyo dada lkn sikumwambia nataka kumwambia hapatikani hewani nasijawahi kupenda kiasi hiki naomba msaada wenu
usipende mpaka uone unachokipenda ndugu yangu wengine humu jamvini ni freemasons ohooooo....habari wanajf natumai ni wazima jamani na tatizo linalonisumbua mara kwa mara hili tatizo linahusu kupenda nilimpenda dada fulani humu jf yeye ndo alinitafuta mimi aliniomba tuwe marafiki nikakubali tukawa marafiki tukawa tunachat kwenye sim nikatokea kumpenda sana huyo dada lkn sikumwambia nataka kumwambia hapatikani hewani nasijawahi kupenda kiasi hiki naomba msaada wenu
ulipaswa kujua yuko wapi, kwa vile namba ya simu na email yake unayo basi wasiliana naye tu. sisi hatuwezi kukusaidia chochote kama ninyi wenyewe hamjuanai hata kwa sura.....
Kama bado ni active member basi atakua kaliona bandiko lako...