Naomba msaada

Naomba msaada

SON OF THE LAND

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2015
Posts
204
Reaction score
210
Hivi ni lazima kisheria kujiunga na chama cha wafanyakazi kisheria, maana mimi nimeungwa moja kwa moja bila consultation na kwakweli sipendi hivi vyama wala sitaki kukatwa pesa yangu kuchangia hivi vyama naomba msaada kisheria kabla sijaenda kuwavaa ma HR wanitoe
 
Umeungwa chama gani? Na kwa mwenyekiti wa tawi lenu akuunge bila ruhusa yako?

Kujiunga kwenye hivyo vyama ni hiari sio lazima.
Unforgetable
 
Back
Top Bottom