mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 947
Wanajukwaha naomba msaada wa jinsi ya kuondoa hizi notification za facebook zisiweze kuja kwenye email yangu
Asante mkuu nimefanya ivyoFungua email moja, scroll mpaka chini kwenye signature alaf bonyeza unsubscribe