pata kujua application au website inayo kupa movie kwa mb ndogo basi ujue hata movie inakua sio clear vile resolution inakua ndigo sana 370p....lakini hapa 1080p inakua movie safi sana na mb kubwa....acha waje wataalamu wakupe zaidi
hapa utapata quality mbovu pia ujue ,
kuna movie ya saa 1.30 in HD Blu-Ray (4k) format ni mpaka 30 GB uko, movie iyoiyo unawezaipata ikiwa na 250 MB, ( 240p quality or less )