mkosefu
Member
- Apr 3, 2014
- 41
- 11
Application nzuri ya kudownload movies mpya iliyokua haichukui mb nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
pata kujua application au website inayo kupa movie kwa mb ndogo basi ujue hata movie inakua sio clear vile resolution inakua ndigo sana 370p....lakini hapa 1080p inakua movie safi sana na mb kubwa....acha waje wataalamu wakupe zaidiApplication nzuri ya kudownload movies mpya iliyokua haichukui mb nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
hapa utapata quality mbovu pia ujue ,mb nyingi