Naomba msaada

Tanganyika50

Member
Joined
Dec 8, 2011
Posts
97
Reaction score
19
Wadau kwa siku mbili mfululizo najaribu kupata shule walizopangiwa wanafunzi wa darasa la saba mwaka huu (2016) bila mafanikio.Je kuna mtu anaweza kunijuza wapi naweza kuyapata?au akaniwekea link ya website yenye nayo.Nimejaribu websites za necta na moe bila mafanikio na website zingine ukifungu zinakuletea picha za ngono tu.
Natanguliza shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…