Kwa mambo ya kitanzania sio rahisi kupata hiyo kitu hapa au kwenye site yoyote. Sijui ni uvivu wa watu kuweka vitu vya maana au ni wivu watu wengine wasifaidi, au kutojua maana yake. Nilitafutia wanangu nikakata tamaa. Wewe jaribu labda utafanikiwa.
nenda youtube andika somo search video lakini itakubidi uwe skull bus kaka ngeli iwe unaielewa alafu kitu kingine material ya kibongo kama ambilikile huwez yapata kwa net
nenda youtube andika somo search video lakini itakubidi uwe skull bus kaka ngeli iwe unaielewa alafu kitu kingine material ya kibongo kama ambilikile huwez yapata kwa net