wakuu naoamba msaada wenu juu ya hii kitu sababu mm nimezowea kuwa nikikutana sehem inahitaji zip/postal code huwa naandika +255 au 0255 na mchezo unakuwa umekwisha lakini kuna softwere hapa inahitajika niweke kwenye laptop. sasa najaza mengine yoote ila ikifika hapo inanambia kuwa THE ZIP/POSTAL CODE is formate?
je natakiwa hapa kufanya nn?
naomba msaada wenu wakuuu
thank mkuu nimejaribu kujaza naona kama inakubali sababu nimevuka hatua hiyo mpaka nyingine but sijafanikiwa bado sababu wameniletea sms kuwa niwasiliane na technical support thanx mkuujaza 11000 afu chagua Dar lkn software kama haupendi kuzungushwa nenda kat.ph afu search utapata jibu
mkuu chief-mkwawa sijajua hao jamaa wanataka zip code ya wapi ila pale chini yake kuna maneno haya (to contact technical support; call free(U.S/Canada) 888-724-6742 or locat international 858-391-5000.postal code ni sanduku la posta na zip code bongo hatuna ila kama unataka kufoji pitia hapa
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...-create-a-pandora-internet-radio-account.html
Postal code sidhani ni sanduku la posta, kwani postal code moja ina sanduku za posta kibao hata more than 1000. Kwa kifupi postal code ni zone mahususi zilizogawanywa kurahisisha upelekaji wa barua na vifurushi majumbani. Tanzania ni wameanza hivi karibuni kuzigawanya, zip code 1 ni state house.postal code ni sanduku la posta na zip code bongo hatuna ila kama unataka kufoji pitia hapa
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...-create-a-pandora-internet-radio-account.html
75001 ni zip code ya Texas.mkuu chief-mkwawa sijajua hao jamaa wanataka zip code ya wapi ila pale chini yake kuna maneno haya (to contact technical support; call free(U.S/Canada) 888-724-6742 or locat international 858-391-5000.
sasa hapo sijui inakaeje? au nijaribu kujaza 75001 sababu kuna kibox cha kujaza namba tu
Na kuna kale kahuduma ambako mtu hahangaiki kwenda posta analetewa barua nyumbani kwake ilimradi tu nyumba yake iwe na namba halafu na kakibox hapo nje. Kwa hiyo wahudumu wa posta wanapita na kukudumbukizia kabarua kako hapohapo nyumbani. Sijui hiyo inaitwaje.
75001 ni zip code ya Texas.
Postal code sidhani ni sanduku la posta, kwani postal code moja ina sanduku za posta kibao hata more than 1000. Kwa kifupi postal code ni zone mahususi zilizogawanywa kurahisisha upelekaji wa barua na vifurushi majumbani. Tanzania ni wameanza hivi karibuni kuzigawanya, zip code 1 ni state house.
mkuu chief-mkwawa sijajua hao jamaa wanataka zip code ya wapi ila pale chini yake kuna maneno haya (to contact technical support; call free(U.S/Canada) 888-724-6742 or locat international 858-391-5000.
sasa hapo sijui inakaeje? au nijaribu kujaza 75001 sababu kuna kibox cha kujaza namba tu
The purpose of postal codes is to sort mail more efficiently, reliably and automatically. Tofauti kubwa ni kwamba PO Box system mteja lazima azifuate barua huko postal office iliko, wakati postal code zinarahisisha uletwaji wa barua nyumbani kwako.kaka ukijaza nchi tanzania na ukaeka city tanga halafu nkaeka postal code 2656 huoni kama hio ni sawa na kuandika po box 2656, tanga tanzania? utata uko wapi labda hao wawe ni wale watu wanaojua dunia mexico usa na canada tu
🙁 mmmmhThe purpose of postal codes is to sort mail more efficiently, reliably and automatically. Tofauti kubwa ni kwamba PO Box system mteja lazima azifuate barua huko postal office iliko, wakati postal code zinarahisisha uletwaji wa barua nyumbani kwako.
safi kaka mimi nime kuelewa vizuri kuhusu kazi ya postal code ....zip code....nk.Kwa jinsi ninavyoelewa mimi, kukizungumzia huduma za posta duniani (katika huduma ya barua) basi postal code,post code,zip code na pincode vyote ni kitu kimoja sema majina tu yametofautiana katika nchi mbalimbali. Neno postal code hutumika sana canada, zipcode hutumika sana marekani na ZIP ni kifupi cha Zone Improvement Plan na hili neno pincode hutumika sana nchini India ambapo PIN ni kifupi cha Postal Indexing Number.
Sasa hizi code husaidia katika usambazaji wa barua kuweza kutambua kiurahisi eneo gani ambapo barua inabidi ipelekwe na kwa mara nyingi (hutegemea na nchi) hii code huwa inaandikwa baada ya sanduku la posta kuandikwa.. Kwa nchi kama india sijawahi kuona kama wanasanduku la posta lakini wao wana ofisi kubwa za posta katika maeneo mbalimbali kwahiyo kinachotokea ni kwamba barua ikitumwa kwa mfano ije dar basi itaandikwa dar es salaam lakini hii code itawekwa ili watu wa posta waweze jua ni ofisi zao zipi zipo karibu na eneo husika barua inahitajika kufika. sasa kama barua inatakiwa ifike mwenge basi code ya mwenge itawekwa alafu wale watu wa posta mwenge watajua kuwa address iliyotajwa juu ni ya sehemu gani pale mwenge..je ni makongo au mlalakuwa au hapo TRA n.k..
natumai nimeeleweka..
kama kuna mtu hajanielewa asisite kuuliza na tutasaidiana kuelewa kadiri ya upeo wetu..
nashukuru
Zip code zipo bwana. Ingia web ya tcra utapata mkuuwakuu naoamba msaada wenu juu ya hii kitu sababu mm nimezowea kuwa nikikutana sehem inahitaji zip/postal code huwa naandika +255 au 0255 na mchezo unakuwa umekwisha lakini kuna softwere hapa inahitajika niweke kwenye laptop. sasa najaza mengine yoote ila ikifika hapo inanambia kuwa THE ZIP/POSTAL CODE is formate?
je natakiwa hapa kufanya nn?
naomba msaada wenu wakuuu