NAOMBA MSAADA WADAU

NAOMBA MSAADA WADAU

yantuzu

Senior Member
Joined
Dec 10, 2011
Posts
115
Reaction score
16
Poleni na majukumu ya weekend wadau wa jukwaa hili muhimu.
Kuna movie nimedownload kutoka "Piratetorrent.net" inaitwa "13 hours The secret Soldiers of Benghazi", shida ni kwamba iko cmpresed kwa winrar na iko na password, Kuna link jamaa wameweka ili kupata password Lakin nikiingia kwenye hiyo link inasema not available.
Naomba kama Kuna namna nyingine naweza kuiondoa hiyo password mnisaidie wadau maana nna hamu sana na hiyo movie.
Nitashukuru kwa msaada chanya.
 
Mimi Nina shida kama hiyo Kuna movie inaitwa miss peregrine's home for peculiar children nataka Quality 720p au 1080p maana zilizopo ni low quality anaejua link yenye movie hiyo na quality hizo ani-direct tafadhali
 
haijatoka dvd/bluray bado hizo ni record za cinema tu
 
Back
Top Bottom