Naomba msaada wa Usafiri wa magari ya IT kutoka Dar kwenda Zambia /Malawi

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,867
8,280
Kwa wanaoujua utaratibu wa kupata huu usafiri wa magari ya IT kwenda Mbeya kuanzia Dar,naomba msaada sijui kwa hapa Dar unapatikana wapi na ni muda gani hasa unapatikana na bei yake hadi Mbeya au hadi Tunduma au Kyela.
Asanteni
 
Bei SIJUI ila pale Mbezi Mwisho ndo wanapotafutia wateja. Kila la kheri lkn mwendo salama kwa sasa ni BASI ndugu yangu
 
Nenda kituo cha mafuta mitaa ya keko veta along nyerere road.

Ila usiwe na roho nyepesi.
Spidi ya 120/140 iyovi ni kawaida sana kwao.
Sasa jiulize tambarale inakuwaje?

All in all chagua gari iliyo stable na yenye starehe.
 
Shukrani ndugu
 
Kuna dada mmoja namfaham anaendesha it ngoja nimpigie nimuulize ratiba yake ikoje ili nimpe kichwa
 
Kwa wanaoujua utaratibu wa kupata huu usafiri wa magari ya IT kwenda Mbeya kuanzia Dar,naomba msaada sijui kwa hapa Dar unapatikana wapi na ni muda gani hasa unapatikana na bei yake hadi Mbeya au hadi Tunduma au Kyela.
Asanteni
Una matatizo gani ?
 
Back
Top Bottom