Poluyakhtov
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 365
- 307
...maswali yako hayamsaidiiWakati CCM wanatangaza kutoa mikopo je uliapply?
Usipende kuhisi ndugu,nilijiunga JF kwa simu yangu mwenyewe mwezi wa nne mwaka huu,lakini simu niliiuza ili kuweza kulipia application na kutengeneza cheti cha kuzaliwa nilichokipata RITA mwezi agosti mwaka huu,simu yenyewe ilikuwa NOKIA ASHA 302 niliyoiuza kwa Tsh.35000 tu.Application 10000,B.Certificate 20000 upo! usipende kumchukulia kila mtu kuwa ni tapeli.namba kuna kipindi huwa inapatikana hasa nyakati za jioni!hiyo laki 360,000 nilifanya shughuli za kumwaga zege chini ya kampuni ya ukandarasi ya PARADIGMS na kupigilia misumari kwenye nguzo kuzuia zisipasuke pale New forests Company-Iringa.Baada ya hapo mradi ukawa umekamilika na hakuna kazi nyingine.Na ndio maana nimekwama.Hivi ukiwa hauna simu unaanzaje kupata hizo 360,000 ulizosema unazo? Jf ulijiungaje na hiyo fake id au pia uliazima cm? Nahisi unaogopa kupigiwa uulizwe maswali usiyoyajua.
Zingatia hili, dunia imeharibika!Chuo kina account number,kwa nini unataka upokee michango mkononi?
Weka na akaunti namba ya chuo kuonyesha unaaminika
Kama huna ela useme tu,sio kuingiza siasa kwa kila jamboUchaguzi mkuu 2015 kura ulipiga? Na ulimpa nani kura yako? Kati ya elimu bure had fm4 au elimu bure had chuo?
Ww hata mama yako akiachwa na baba yako utailaumu ccm tu, yeye ameomba msaada ww unaingiza siasaPole sana Mkuu but kama uliipigua kura CCM hiyo dhambi itakutafuna mpaka kudisco.
Nami najiuliza awamu nyingine itakuaje, na mambo ya msosi n.k itakuaje, hali imekua mbayaKwani maisha mpaka usome tu?,mambo kama yamegoma piga chini chini ya jua kuna vitu vingi vya kufanya na ukatusua tu, haya utafanikiwa ulipe kwa sasa je awamu nyingine itakuaje?
Dah!!...asipokuelewa kwa haya maelezo yako bhasi jamaa atakuwa......si bure.Usipende kuhisi ndugu,nilijiunga JF kwa simu yangu mwenyewe mwezi wa nne mwaka huu,lakini simu niliiuza ili kuweza kulipia application na kutengeneza cheti cha kuzaliwa nilichokipata RITA mwezi agosti mwaka huu,simu yenyewe ilikuwa NOKIA ASHA 302 niliyoiuza kwa Tsh.35000 tu.Application 10000,B.Certificate 20000 upo! usipende kumchukulia kila mtu kuwa ni tapeli.namba kuna kipindi huwa inapatikana hasa nyakati za jioni!hiyo laki 360,000 nilifanya shughuli za kumwaga zege chini ya kampuni ya ukandarasi ya PARADIGMS na kupigilia misumari kwenye nguzo kuzuia zisipasuke pale New forests Company-Iringa.Baada ya hapo mradi ukawa umekamilika na hakuna kazi nyingine.Na ndio maana nimekwama.