Hata makopo yaliyoisha mafuta, chupa za maji zinafaa mkuu, ila pia masokoni huwa wanapanga mtumba toys kuanzia jero na kuendelea, kama wa kiume ukimnunulia ile tricycle used imara umemaliza kila kitu.